iqna

IQNA

raisi raisi
Idul Fitr
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za kheri na fanaka kwa Waislamu kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr ambayo ni siku ya kurejea katika Fitra na ni wakati wa fahari na furaha kwa waliofunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na waja wema wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3476900    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/22

Rais wa Iran katika Chuo Kikuu cha Peking
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mfumo Mpya wa Utawala wa Dunia unaibuka huku bara la Asia likiwa kitovu chake na kwamba utachukua nafasi ya ule wa awali.
Habari ID: 3476568    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/15

Kumbukizi ya Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba watu wa Iran hawataiacha damu ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani iende burE, na bila shaka watalipiza kisasi kwa damu ya shahidi huyo wa ngazi ya juu.
Habari ID: 3476349    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 18 la kimataifa linalofanyika kwa anuani ya "Uislamu, Uadilifu na Mlingano, Misingi ya Dini na Nidhamu ya Ulimwengu" umeanza rasmi katika mji mkuu wa Russia, Moscow na kufunguliwa kwa salamu za Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3476223    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09

Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Siku ya Mwanachuo kuwa ni nembo ya kumtambua adui, kukabiliana naye, kuwa makini na kuwajibika wanafunzi wa vyuo vikuu.
Habari ID: 3476214    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/07

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ahlul Bayt AS- yaani watu wa nyumba ya Mtume Muhammad SAW, ni ufungu wa Umoja wa Kiislamu na chimbuko la matumaini katika jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3475717    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/01

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na maulamaa na wanazuoni wa Ahul Sunna wal Jamaa nchini Iran na kusisitiza kuwa umoja wa Shia na Sunni ni suala la kimkakati huku akitilia mkazo umuhimu wa kuzuia kujipenyeza wakufurishaji nchini.
Habari ID: 3475255    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15

Rais Raisi wa Iran katika hotuba kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema juhudi za Marekani na washirika wake za kuitwisha dunia ubeberu wao zimefeli vibaya na kwamba siasa hizo za ubeberu hazina itibari tena kimataifa.
Habari ID: 3474324    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22